mmmmmmmmmmmhhhIyo gumu bana!!!!???
hahaha hata kwa Swaga ya kinyumbani Gumu banaa!!:becky:mmmmmmmmmmmhhh
GUMU SANA BANAAAAAAAAAAAAAAAA
Hapo kiingereza hakijajitosheleza banaaaaaaa.........Imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.Tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.Wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'WEWE NI MTOTO WA NGAPI KWENU?'
hahahaaaaaa!very prezident.imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'wewe ni mtoto wa ngapi kwenu?'
Imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.Tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.Wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'WEWE NI MTOTO WA NGAPI KWENU?'
Sio kila sentenso ya kiswahili inaweza tafasiriwa neno kwa neno kwa kingereza! Na hili ndio tatizo la msingi kwa watu wengi! Tunafikiri kwanza kwa kiswahili halafu ndio unataka kusema kwa kizungu huu hapa mifano niliyowahi sikia
Watu wengi huwa wananichanya na wa Ningeria= Many people always confuse me with nigerian, hiyo niliisikia kwenye talk show live!
Hiyo sentenso hapo juu kwangu mimi nisingewaza kuuliza yeye ni wangapi kuzaliwa! Ningesema hivi
Do you have siblings! Jibu ni yes or no! Kama ni yes nauliza, and you are first or second born? No Im a fourth born
and you are first or second born?
tehe tehe.........! Cambridge sio?Mtu anataka sentensi moja, isiyouliza kingine chochote zaidi ya hilo swali.
By the way unavyowakandia wanaotafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza moja kwa moja unajikandia mwenyewe.
Kiswahili tunauliza kwa kusema "wewe ni....?"
Ukiitafsiri hii Kiingereza unapata "you are...?" kwa hiyo kuuliza "you are first or second born?" si Kiingereza, ni Kiswahili kilichotafsiriwa kwa maneno ya Kiingereza, lakini structure ya swali ni ya Kiswahili.
Lakini Kiingereza swali linaulizwa kwa kusema "Are you....?" not "You are...?"
Be careful to adhere to the standards you advocate.
Sio kila sentenso ya kiswahili inaweza tafasiriwa neno kwa neno kwa kingereza! Na hili ndio tatizo la msingi kwa watu wengi! Tunafikiri kwanza kwa kiswahili halafu ndio unataka kusema kwa kizungu huu hapa mifano niliyowahi sikia
Watu wengi huwa wananichanya na wa Ningeria= Many people always confuse me with nigerian, hiyo niliisikia kwenye talk show live!
Hiyo sentenso hapo juu kwangu mimi nisingewaza kuuliza yeye ni wangapi kuzaliwa! Ningesema hivi
Do you have siblings! Jibu ni yes or no! Kama ni yes nauliza, and you are first or second born? No Im a fourth born
Maneno si ndiyo haya? Mi mwenyewe kuna kipindi nilipanda mlima wetu huu hapa nyuma ya nyumba.Kuna mzungu mmoja alishindwa kupumua kutokana na mkandamizo wa hewa.Kijana aliyembebea mzigo hakukubali kuonesha haijui lugha akamuuliza yule mzungu tena kwa kujiamini ARE YOU TENT WELL?
Wakulu je ukisema hv inakuwaje wajameni>...how many seniors you in your family? najaribu tu kuwakilisha maana mashikolo mageni genaya gete.hahahaahaaaaaaaaaaaaaa!
Wakulu je ukisema hv inakuwaje wajameni>...how many seniors you in your family? najaribu tu kuwakilisha maana mashikolo mageni genaya gete.