TANESCO walipoona wanaibiwa kwenye mita za umeme wakaja na LUKU (Lipia Umeme Kadili Unavyotumia) ndivyo na walimu walipolazimishwa (BRN) BIG RESULT NOW nao wamekuja na FUKU (Fundisha Kadili Unavyolipwa) dah hii ni hatari au haki?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums