Mkuu hujui mikataba hata ulaya inakuwa hivyo, inategemea wakati unaingia mkataba ulikuwa na kiwango gani, mara nyingi huboreshwa baada ya kiwango cha mchezaji kupanda na kuingia mpyaHalafu jinga kama Morrison unampa 16m
Mjuaji kuzidi hakuna unachojua kuhusiana na mind games. Haujui ni kwa namna gani pressure ipo kwa viongozi kiasi kupelekea kushindwa kufocus kwenye mechi na kuelekeza nguvu kwenye hilo jambo. Zingatia na wao wanapambana kuweza kumbakisha Jangwani.Watu wa nyanda za juu kusini huwa na akili na uwezo mkubwa kifikra Sasa sijui wewe mwezetu vipi? Sasa hako kauzibe kwenye kambi ya yanga kanakujaje wakati wao ndo wanajua A to Z kuhusu mchezaji wao?
Mimi ni Yanga pure kwa ilo feisal nenda azam kwa pesa na mkataba ule unaachaje kwenda kwa mfano wabongo siyo wavumilivu watakuja kukucheka kama ngasa apo baadae ukifanya mchezo..
Hata Morrison mlisema mmeshamalizana nae na amesaini miaka mitatu kilichofuata kila mtu anajua Lucy aymel hakukosea kuwaita vile.Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.
Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.
Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.
Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.
#Daimambelenyumamwiko
Tukusikilize wewe? Wewe ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamsikiliza Bumbuli? Yeye ni nani?
Wewe inawezekana hakuna unachoelewa. Hujui siasa za mpira zikoje na namna zinafanya kazi.Hahahaaa!! Kaa kwa kutulia. Na yy ni sehemu ya PROPAGANDA?
View attachment 2457515
Bado unawaza propaganda Tu Mbona suala zima linaeleweka tiyari [emoji23][emoji23] .....we jamaa inaelekea n mbishiWewe inawezekana hakuna unachoelewa. Hujui siasa za mpira zikoje na namna zinafanya kazi.
Unashindwa kunielewa ndio maana unaniona mbishi. Mimi sijakataa Feisal kuondoka au kutokuondoka ila nyinyi mmekomalia kwamba mimi napinga. Ndio maana nasema wengi hili swala mnalichukulia kirahisi kwa sababu mnafuata upepo ila kwa mwenye jicho la mwewe ashaelewa kinachofanyika nyuma ukizingatia na hii game ya leo.Bado unawaza propaganda Tu Mbona suala zima linaeleweka tiyari [emoji23][emoji23] .....we jamaa inaelekea n mbishi
Suala la Feisal kuondoka lilishajulikana zaidi ya mwezi mmoja uliopita ndiyo maana yule albino alikanusha kwa kejeli kubwa lakini ndiyo hivyo limetimia na wengine wawili wanafuata.Unashindwa kunielewa ndio maana unaniona mbishi. Mimi sijakataa Feisal kuondoka au kutokuondoka ila nyinyi mmekomalia kwamba mimi napinga. Ndio maana nasema wengi hili swala mnalichukulia kirahisi kwa sababu mnafuata upepo ila kwa mwenye jicho la mwewe ashaelewa kinachofanyika nyuma ukizingatia na hii game ya leo.
Think brother, Think!!
Wanafuata kwenda wapi? [emoji23][emoji23]Suala la Feisal kuondoka lilishajulikana zaidi ya mwezi mmoja uliopita ndiyo maana yule albino alikanusha kwa kejeli kubwa lakini ndiyo hivyo limetimia na wengine wawili wanafuata.