swala la katiba mpya

swala la katiba mpya

kamara

New Member
Joined
May 21, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Je swala la kuipata katiba mpya limewezekanaje kupunguzwa kasi?
Je ilikuwa tu kasi ya kisiasa kuzunguka kila mkoa kutanganza kuhusu swala la upatikanaji katiba mpya?
ni kwanini kila wakati vyama vya upinzani udanganywa kama watoto kukaribisha ikulu na kula pilau siyo chanzo cha kuwafunga midomo a msimamo,unafikiri bungeni ndio mtapata muafaka ama umedanganywa kwa bimbinu za kimapinduzi
 
Je swala la kuipata katiba mpya limewezekanaje kupunguzwa kasi?
Je ilikuwa tu kasi ya kisiasa kuzunguka kila mkoa kutanganza kuhusu swala la upatikanaji katiba mpya?
ni kwanini kila wakati vyama vya upinzani udanganywa kama watoto kukaribisha ikulu na kula pilau siyo chanzo cha kuwafunga midomo a msimamo,unafikiri bungeni ndio mtapata muafaka ama umedanganywa kwa mbinu za kimapinduzi
 
Nenda kawatungue wajinga hawa! Piga kabisa waongo hawa lakini angalia usije ukakutana na WATEKAJI wa Msitu wa Pande au MAJANGILI wanaouwa Tembo. Watakufikiria na wewe Tembo halafu wakujeruhi halafu tukupeleke kutibiwa India, au sijui Afrika ya Kusini. Na huko ukirudi basi nina hakika hutauliza maswali kama hayo tena. Dr Ulimboka na Kibanda wamemwachia Mwenyezi Mungu, wewe nani upate majibu?. Tz pagumu siku hizi, wenye kelele kama zako hawatakiwi, unauliza maswali yasiyo na majibu.
 
swala la katiba ni muhimu sana tuhusishe watanzania wote pasipo kuangalia hali ya mtu kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa ili tuweze kuwa na katiba bora
 
===

.. KATIBA BUNGENI DODOMA: Hivi punde, Waziri W. Lukuvi ameinisha jinsi Muswada wa Sheria ya Kura ya Maoni utakavyotumika kuendesha kura ya Rasimu ya Katiba Mpya.
 
swala la katiba ni muhimu sana tuhusishe watanzania wote pasipo kuangalia hali ya mtu kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa ili tuweze kuwa na katiba bora

===

... KURA YA KATIBA: Kura ya Maoni ya Katiba Mpya iendeshwe na NEC, ZEC na ipigwe pale tu serikali itakapomaliza kuboresha daftari la wapiga kura, asema Lukuvi leo.
 
Back
Top Bottom