Je swala la kuipata katiba mpya limewezekanaje kupunguzwa kasi?
Je ilikuwa tu kasi ya kisiasa kuzunguka kila mkoa kutanganza kuhusu swala la upatikanaji katiba mpya?
ni kwanini kila wakati vyama vya upinzani udanganywa kama watoto kukaribisha ikulu na kula pilau siyo chanzo cha kuwafunga midomo a msimamo,unafikiri bungeni ndio mtapata muafaka ama umedanganywa kwa mbinu za kimapinduzi
swala la katiba ni muhimu sana tuhusishe watanzania wote pasipo kuangalia hali ya mtu kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa ili tuweze kuwa na katiba bora
swala la katiba ni muhimu sana tuhusishe watanzania wote pasipo kuangalia hali ya mtu kama vile kiuchumi, kijamii na kisiasa ili tuweze kuwa na katiba bora