Swala la overtime kwenye ajira

Swala la overtime kwenye ajira

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Mzuka?

Naomba niulize wana jukwaa

kuhusu swala la overtime kwenye ajira.

Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla sijajichanganya kwa gabachori naomba nieleweshewe.
 
Overtime ni nje ya contract yako labda kama mlikubaliana kwa maandishi ya mkataba wako.

Nje na hapo haihusiani na hayo mambo ya NSSF maana yake unatakiwa kupewa pesa kama ilivyo.

Ila hilo linaweza kuwa tofauti kutokana na makubaliano yenu na namna ya ulipwaji wako.

NB
Overtime unatakiwa kupewa kama ilivyo.
 
Mzuka?
Naomba niulize wana jukwaa
kuhusu swala la overtime kwenye ajira.
Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla sijajichanganya kwa gabachori naomba nieleweshewe.
Overtime ama extra duty unapewa kama ilivyo.
 
Marupurupu huwa ni kama ilivyo, hayo ndo yanajazia magepu ya makato.
 
Back
Top Bottom