Overtime ni nje ya contract yako labda kama mlikubaliana kwa maandishi ya mkataba wako.
Nje na hapo haihusiani na hayo mambo ya NSSF maana yake unatakiwa kupewa pesa kama ilivyo.
Ila hilo linaweza kuwa tofauti kutokana na makubaliano yenu na namna ya ulipwaji wako.
NB
Overtime unatakiwa kupewa kama ilivyo.