pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,229
Nionavyo Mimi
Hii ishu Ya ushoga ni mtego ambao umetegwa kwa walengwa hapo Juu.
Ma Master mind wanajua hakika kuwa Wananchi wa kawaida ambao ni wengi hawapo tayari kuona Suala la Ushoga lina kuwa hapa nchini, wengi wamebase kimaadili, na kidini na wanaona ni laana.
On the other side kuna jumuia ya kimataifa na wanaharakati wake, na mashoga wanao hitaji kujitetea
Sasa ikifika hapo Viongoz wa upinzani, na wanaharakati ambao mkate wao wa kila siku unapatikana kwa kukosoa mambo mabaya ktk serikali na jamii, lazima wataingia mkenge na kulivalia njuga hili suala
Tumeshaona Shangazi Karume keshasema atawatetea wazi, akina Mange na wanaharakati wengine nao wapo standby wakitafuta gia ya kuingilia.
Na in the coming week,kutakuwa na alot of development news kwenye hili suala kimataifa, Kuna baadhi Ya watu wa nje watajaribu kutumia hii kama silaha ktk vita ya uchumi (kenya ikiwemo),lengo ni kutarget utalii, na of course kuna weza hata tokea shirika la ndege likasema lina cancel kwa muda safar zake za Dar, au chochote ambacho jumuiya ya Biashara kimataifa inanaweza fanya ili kujifanya inajali haki za wateja wao magay, itakuwa ina toa signal mbaya kwetu kiuchumi
Na najua ikifika hapo, hawa wanaharakati wetu wote, kuanzia mitandaoni had ardhini ndipo watakapo livalia njuga hili suala kinaga ubaga, na kusimama kuonesha serikali inavyombwera, kwa stunts zake na jinsi sasa linavyoicost nchi.
Ikifika hapo, MA master mind watakuwa wamepata wanachotaka, a clear connection between Wanaharakati wetu, na suala ambalo linaonekana kuwa kinyume na maadili na iman ya Watanzania.
Na kwa kuwa point ya maadili na iman bado ni point strong sana kwa wananchi walio wengi, Ma master Mind hawa watafanikiwa kuchonganisha Wanaharakat na wananchi walio wengi.
Kuwa hawa jamaa hata wanapokosoaga mambo mengine huwa wanaangalia tu matumbo yao, na sio manufaa ya nchi, ona sasa wanataka tuhalalishe ushoga.
Kwa kuandika haya, ninatoa wito kwa wanaharakati na wanasiasa wenye clear role kwenye kushape siasa za nchi hii, wajiepushe kuonesha misimamo yao katika suala hili, lililo kaa kimtego.
Kuna siku haki za mashoga zitatambuliwa ila sio sasa, kuzitetea sasa ni kutaka ugombane na wananchi Walio wengi.
No body knew kuwa bangi ingehalalishwa 2018.na Toshi alipoimba Legalize it 1980s alionekana kama chizi. The same trend is here for ushoga.