Swala ya Eid el Fitri, Msikiti Masjid Zinjibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar.



📅 10 Aprili, 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…