Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

Naomba nikuulize swali. Unaamini ukiiacha gari idling for 10minutes joto linapungua(inapoa)? Kwamba wakati unaendesha mshale wa temperature unakuwa juu, ukifika ukiiacha idling for 10mins mshale unashuka (inapoa)?

Ukiniuliza mimi kwa gari nzima temperature inabaki ile ile na fan inafanya kazi ya ziada kuhakikisha temperature haipandi ukiwa umesimama kuliko ukiwa kwenye mwendo.
 
Nafikiri amemuelewa vibaya huyo engineer
 
I believe the theory behind it based on experts advice and the logic behind it.
 
Mkuu jibu swali, temperature inashuka(gari inapoa) ukiiacha idling for 10mins?
Pia ni components zipi zinapoteza shape kiasi inabidi uache gari for 10 minutes zirudie shape yake?
Infact mshale hauwez kushuka under normal engine operating temperature,But kuna other factors ambazo ni technical zaid ya huo mshale wa engine kuwa at that point ambao wewe umeamua ku rely. Hata basi haimaanishi kwamba linapoachwa more than 30minutes ni kwamba gauge ya temperature inakuwa above normal engine operating temperature.Gauge ya engine kuwa too Low/High ni kishiria tosha cha gari kuwa bovu and not otherwise.
 
Kwa waliosoma NIT najua hz manuals wameshakutana nazo.
 
Kama ule mshale wa temperature unabadilika mara kwa mara ukiwa safarini basi ujue engine yako kuna shida mahali.

Mshale unatakiwa kugota sehemu moja mwanzo mpaka mwisho wa safari manake engine inaoperate under normal temperature.

Haitakiwi kuzidi wala kupungua.
 
Hebu toa elimu ya iwanini ukitembea safari ndefu kwa gari isiyo na turbo inabidi uiache iungurume kwa mda ?

Naona kuna watu wamekuelewa vibaya hapa wataleta engine nock sio mda hebu watolee ufafanuzi malengo ya kuiacha gari iungurume kidogo.
 
Hebu toa elimu ya iwanini ukitembea safari ndefu kwa gari isiyo na turbo inabidi uiache iungurume kwa mda ?

Naona kuna watu wamekuelewa vibaya hapa wataleta engine nock sio mda hebu watolee ufafanuzi malengo ya kuiacha gari iungurume kidogo.
Kasome vizuri, umeongeza kinyume.
 
Nazani hapa ni mazoea ya madereva wa zamani ambao pia elimu yao ya ki ufundi ilikuwa ndogo katika kutambua utendaji kazi wa engine kwa ujumla, umetoka iwe mwanza ;mbeya, songea humo mote utakwenda 180 au 250?je sheria za usalama barabarani zinasemaje kuhusiana na unapoingia eneo la mji ?kama umetembea kwa dk 10 kwa speed 50 hiyo gari italetaje hitilafu ikizimwa? turbo charg inaendeshwa na exhaust gas ndani ya turbo kuna njia za oli ambayo hupita ukiacha kulainisha sehemu zenye msuguano pia huipooza turbo kutokana na joto la engene ,huo ndio uelewa wangu
 
Bodaboda je? Tuzime baada ya muda gani?
**kichwani Helmet, pua+mdomoni barakoa.
****Reflector jacket yaan tumeshakua father krismasi bila kupenda
Mkuu boda boda zipo zinatumia mfumo wa hewa kupooza engine hizi zinatakiwa zizimwe punde baada ya kufika safari na ukichunguza vizuli utaona engine yake ina chuma aina ya aluminum kwa wingi hii ni kwasababu aluminum inapitisha joto kwa haraka ,zipo boda zinatumia mfumo wa upozaji kwa kutumia maji hizi ni mwendo mdundo
 
Tupe sababu aliyoisema kwanini gali isizimwe ikienda umbali mrefu ?je kampuni ipi imeweka hiyo restrictions?
 
Hamna zaidi ya kunywa mafuta mengi zaidi.
Yaaa mkuu madhala yanaweza tokea maana oil itakuwa haijasambaa vya kutosha sasa kuna sehemu zitafanyakazi kupita kiwango bila ya kuwa na oil ya kutosha unaweza usione madhala kwa hapo hapo sasa ikiwa ni tabia baadae utakuja elezwa
 
Perfect
 
Yaaa nikweli kwenye mwendo temperature inakuwa ipo vizuri sana
 
Huyo jamaa wa NIT alikuwa muongo kabisa na amepotosha watu wengi kwenye ishu hii ya kiufundi
 
Mkuu ni hivi
Kuna thermostat , hii kazi yake ni kuweka joto la engine constant , muda pekee thermostat haifanyi kazi vizuri ni pale unapowasha gari asubuhi , Maji yakiwa na temp za chini , temp ikishapanda thermostat inaanza ku regulate joto lizisidi beyond.
Kwa mantiki hii hata gari uiache idling wiki bado haitashuka operating temperature .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…