Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mwisho tutasema hajui kuimba au kutengeneza beat or heat song... Mara hawezi kujenga, Mara Hana gari zuri nk...yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
ππππ alijaribu kidogo na ika pay off japo kinegative ila lengo lake lilifanikiwa ππMbona tulimfuatilia sana pale alipovua nguo halafu akajibiinua makalio kama wema na kisha kupigwa picha na mwanaume mwenzake.. tulimfuatilia sana tu
Uuuwi hajapata Meneja mzuriyupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Huyu Mwanamziki wa Tz yup London? !Mbona yupo London,kwenye East Africa Summer festival,au umekutana na Ben Paul rapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hah mzima Boss?!
Eti ee?Mkuu benpol yuko ulaya wewe umekutana nae wapi..au mko nae ulaya au huu uzi ni wa siku nyingi ulikua una load tu..
B.T.W jamaa sasa hivi yuko moto.
Katoa ngoma kali sana na maua sama , ana ngoma flani na mganda yaani kwa ujumla ni fire fire
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeesu na Maria na Yosefu!Mbona tulimfuatilia sana pale alipovua nguo halafu akajibiinua makalio kama wema na kisha kupigwa picha na mwanaume mwenzake.. tulimfuatilia sana tuView attachment 854140View attachment 854140
Hahaha haha mimi nimepiga nae selfie nyingi za kumwaga doh