Swali: "bureau de change" ndio basi tena ama?

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
1,351
Reaction score
2,079
Naomba kujuzwa, hivi yapo maduka binafsi ya kubadilisha fedha yanayofanya kazi au ndio basi tena, biashara wameachiwa mabenki? Maana huku niliko "bureau de change" niliyozoea kuiona ilifungwa kwa muda mrefu na sasa pamebadilishwa biashara.
 
Nyingi zimefungwa zimebaki chache sana za kuhesabu, hata ule mtaa wa samora uliokua umefurika ma bureau de change sikuhizi ukipita hazipo kabisa
 
Back
Top Bottom