Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....