Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
wewe jua linaua watu huku pwani ya indian ocean wewe unasema mafuriko? yaja lini?Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Mzee umelamba Asali wee then ndo umeamua kurudi jukwaani.Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Kwa kawaida, kama pamekuwapo ukame mkali, mwaka unaofuata inafuata mvua kubwa za hasara kubwa.Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Tunahitaji gesi ya Taifa iuzwe na hakuna kutumia kuni Wala mkaa ukibainika unanyongwa. Yaani Kuna kakikundi fulani wanaamua leo tuishi vipi.Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Disemba..kabla ya Krismasiwewe jua linaua watu huku pwani ya indian ocean wewe unasema mafuriko? yaja lini?
Hapo kama serikali inajiandaa kupokea na kuila misaada ya kusaidia wahanga wa mafuriko.Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Wahanga wa ndege wameokolewa na wavuvi wakitumia mitumbwi labda tujiandae kununua mitumbwi piaMiaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Kila nyumba maeneo ya mafuriko innuendo mtumbwi....duhWahanga wa ndege wameokolewa na wavuvi wakitumia mitumbwi labda tujiandae kununua mitumbwi pia
Natarabiri ile Dar kuna siku itazama, make si kwa ujenzi ule, time will tellMiaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako akinyolewa...". Je na sisi tumejiandaaje na uokoaji, uopoaji na kuhakikisha tunarejesha miundo mbinu kwa haraka? Hasa kama kuna mahali kutakatwa mawasiliano sababu ya mvua kubwa?
Au tuombee tu Mungu atuepushe na majanga na ya kuwa hatuna la kufanya au kujifunza kwa wenzetu...
Asiyeziba ufa.....
Kuna votu vinachangia Dar mikondo ya maji yote imezibwa watu wenye pesa wamepiga ma ukuta, vipi hapo?Mafuriko ni Moja ya majanga ya asili. Janga ni janga hakuna mtu ambae hujiandaa kulikabiri janga Bali huwa tunajiandaa kupunguza madhara. Nchi Kama Pakistan hukumbwa na twtemeko Kila wakati jambo linalofanyika huwa ni kupunguza athari hasa vifo.
Kwa Afrika achana na Tanzania ambacho tunaweza ni kukimbilia maeneo yenye miinuko lakini ikitokea tatizo kwenye suala la uokoaji wa wahanga tupo nyuma Sana.