wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Katika pita pita zangu huko mitamdao mingine nimeona DC wa wilaya fulani amembeba mtoto inaonyesha tayari kajifungua ni wake.kama tunavyojua jf ina wataalam/wajuaji wa kila kitu habari za uchunguzi na kuna member humu warumi alikuwa bingwa wa kutuletea umbea.
Je, ina maana member wa jf wote hili nalo limewashinda kumjua baba wa mtoto ili tumjue shemela mmliki wa mrembo na mheshiniwa weru ili nae tumpe heshma yake?
Karibuni hadi tumjue[emoji2312][emoji2312]
Je, ina maana member wa jf wote hili nalo limewashinda kumjua baba wa mtoto ili tumjue shemela mmliki wa mrembo na mheshiniwa weru ili nae tumpe heshma yake?
Karibuni hadi tumjue[emoji2312][emoji2312]