Swali chonganishi/kichokozi, hivi mpaka sasa baba mtoto hajafahamika tu?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Katika pita pita zangu huko mitamdao mingine nimeona DC wa wilaya fulani amembeba mtoto inaonyesha tayari kajifungua ni wake.kama tunavyojua jf ina wataalam/wajuaji wa kila kitu habari za uchunguzi na kuna member humu warumi alikuwa bingwa wa kutuletea umbea.

Je, ina maana member wa jf wote hili nalo limewashinda kumjua baba wa mtoto ili tumjue shemela mmliki wa mrembo na mheshiniwa weru ili nae tumpe heshma yake?

Karibuni hadi tumjue[emoji2312][emoji2312]
 
Vunja bei
 
Siku hizi tuna cocastic. Naona anakuja kwa kasi kubwa kwenye hicho kipengele. Mpe siku chache tu, ili aingie mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…