Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini?

Mleta mada umeolewa na yule muhanga wa diamond jubilee hall aliyezimia kwa sauti ya Makonda?ujane unakuotea mlangoni.
 
Mange Kimambi... Diamond Platinumz. ..Ali Kiba... mbona unajicontradict mwenyewe....kwenye huu uzi ulisema wewe humfwatilii mondi waka liba waka kimambi kwamba wewe mambo yako ni ya mbele (majuu) kwa kina beyonce.....sasa imekuwaje hadi unajua biashara ya mondi hadi madem zake??


Ushauri:acha kuigiza maisha maana kwa unavyojionesha huna class yoyote ya kumshauri diamond na weww ni limbukeni wa mji tu huna lolote..
Mala ooh unamshabikia rihanna tu na beyonce ...acha ulimbukeni ujitambue
 
Kwa wao kufanya biaahara za namna hiyo zilizotakiwa zifanywe na watu wa kawaida na wao wakatumika kuzi promote wakiwa kama mabalozi ni ukosefu ubunifu kwenye biashara na ushauri wa watu wenye ujuzi na utalaamu kwenye uwekezaji if they he worth 8bn angeweza kuwekeza kwenye fursa nyingi ambazo zingempa return kubwa zaidi na zingechangia zaidi kwenye uchumi wa nchi yetu hzo biashara za karanga, ubuyu na viungo vya pilau awaachie wajasirimali wadogo yeye awasapoti wakue.
 
nawasubiri wenye akili zao waje waongee sasa! tuwasaidie wadogo zetu tu kwakweli...
Bonge la point ila kabla ya kuendelea ww ni mchaga maana hzo *KIRUU* sio poa Turudi kwenye mada
Upo kama mm kabisa kwann nasema hvy ww unajifunza kutoka kwa watu walio jielewa
Bongo wasanii wengi wanapenda kujulikana kuliko hela anayomiliki hvy hvy hata wasanii wengi wa afrika waliopo marekani mfn may weather anatumia million 100 kubadilisha oil ya gari na ni yy kaandika kwamba kafanya hvy ili apate sifa
Hvy hvy huku bongo unaona mtu unafanya ujinga ili spate kiki yani ujinga mtupu
Ukiangalia White people hutumia hela hzo kusaidia waafrika na wa Asia wanaoteseka kutokana na uzembe wa nchi familia au yy mwenyewe
Pia kitu kingine mfano Justin beiber wakina jay z Beyonce huwa kazi zao ndo zinajulika kuliko maisha yao ya kawaida sasa huku bongo ni vice versa mtu anatumia hela ili atambulike mfano diamond anatumia hela
Kutengeneza kiki mara kalala na mobetto mara ujinga wa ben pol na Ebitoke wolper na harmonise sijui na wengine wengi
Ila ukiangalia hawa watu mziki bado wazembe kabisa kwasababu huwezi kwenda kwenye live bendi zao wa live show maana wanauzi balaah mfn show ya diamond sio nzuri kabisa yani anaforce kufanya show coz hanamazoezi na ndo maana bongo Sidhani kama kuna wasanii wanaweza kufanya show za live kama Alice keys
Na wengine wengi coz huwezi on a mtu anapiga show masaa manne mpk sita akiwa mwenyewe na kumiliki stage yani bongo ni vigumu huku kiki mfn diamond kabla ajaimba wimbo ety anaweka story mfano ya kuachwa na zari anaimba wimbo wa sikomi yani hujinga mtupu daah!
Turudi kwa watu nunda humu jamii forum tunawashauri wakina diamond wema na wengine alafu mtu anakuhuliza ww una nn mpk uwashauri wenzako unajua hakuna anayeweza kuona kisogo chake naamanisha huwezi on a makosa yako pia we unaweza jiona upo sawa ila ss ndo tukaona unaharibika mm nakwambia wasanii wakitanzania wanaishi maisha feki yani akifa au akipata shida ndo utamjua vizuri
 
Kwahiyo unawazungumziaje wakina bakhresa wanaouza Aishkrimu?
 
asante kwa mara ya kwanza nimekutana na mtu mwenye akili zake nzima na za maendeleo!
ubarikiwa mpaka ushangae

mimi ni halfcast wa kichaga
 
Katumwa huyo,siyo bure!!au vyuma vimembania.
vinibaneje labda? unanijua au unaniona tu JF?!

kuna maprofesa wakubwa nchini hp wanauza barafu we una mshangaa mondi kuuza karanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtaje m1 tumwone!
unajua maana ya class?
unajua maana ya sustainable development?!
hao ma professa ana bil 5 benki?
 
Kwahiyo unawazungumziaje wakina bakhresa wanaouza Aishkrimu?
bhakresa ajira yake ya kwanza ni mziki?!

unajua maana ya class?
unajua maana ya sustainable development?!
kama haujui usi comment bro!
 
Mleta mada umeolewa na yule muhanga wa diamond jubilee hall aliyezimia kwa sauti ya Makonda?ujane unakuotea mlangoni.
tafuta hadithi ya money penny ni nani lakini hapa jamii forum utajua nimeolewa na nani

usipende kudandia magari kwa mbele

kwanza
unajua maana ya class?
unajua maana ya sustainable development?!
kama haujui usi comment bro!
 
hii ni part 2

umeona Mange kaandikwa hapa?
 
thank you

nimekupenda bure rafiki

unathink strategically
 
vizuri kula na wote

mimi sio chizi naweza kukuzaa hata mara 3
 
Basi limtu badala licoment tu lita quote liuzi lote hili na kikoment chake cha sentensi moja... Mnakera mfyuuu
mliambiwa mje kucomment kwani?!

kasome uzi vizuri kama huna cha kuandika usiandike
 
unajua maana ya class?
unajua maana ya sustainable development?!
kama haujui usi comment bro!
 
Ngoja nimshauri Mondi auze na mahindi ya kuchoma pale taifa kukiwa na game[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
akimaliza auze na condom basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…