Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini?

waliofanikiwa kimaisha wanasema usimdharau mtu...we mpe tu score zake tu inatosha yy kafunguka kulingana na uelewa wake
 
Huna la mana uliloandika nimekuignore

Rudi kwenye uzi ujue unahitaji nini ukinisemesha vbaya haisaidii mana sio mimi nauza karanga wala naimba

Anywho mje huku
si bora nazi mia nne tajir baressa anauza maandaz mia mia ye anashangaa nn

patakufaa Mume Wangu aki-cheat Nafurahi Sana...
 
We endelea tu kufuatilia celebrities wa Marekani huku bongo tuachie wenyewe, unataka wasanii wajenge hospital wakati hata pesa za matibabu mpaka tuwachangie labda na hizo za ujenzi tuwachangie.Hivi unajua Wema mpaka leo anaishi nyumba ya kupanga? Huku mastaa wetu utajiri walionao ni umaarufu tu
 
kwasababu mnaleta uakili finyu mkipata hela mnaanza kutambia wananchi ndio maana serikali yenu inawafungia miziki

tumieni akili kama wanamziki wa ulaya... wanaimba kwa akili

ukila na kipofu usimshike mkono jamaa!
 
Wasanii wa kibongo fake sana.Usikute hapo alipo Diamond ana wamiliki Nillan na Tiffa tu basi kama Zari alimuambia ukweli.
 
Diamond ni Brand hizo Karanga hata hajui zinavyopatikana Wala packaging yake yeye Anachojua ni Anavuta Pesa kiasi gani kwa Hizo karanga kuwa named na Brand yake yani Diamond Karanga , Apo amefanya namna ya kuuza Jina lake ktk hio Bidhaa ila hana mahusiano nayo kabisa katika inshu ya Manufacturing
 
tunajua

sasa kwanini anagombea percent na yule owner wa Clouds Fm? ujinga mtupu
 
Shida yako ni mawazo mgando. Mondi alichotazama ni bidhaa ipi nje ya muziki inaweza kuwa na soko kubwa kwenye mazingira yetu ya kila siku. Mimi namwona Mondi kama mjasiriamali mwenye maono. Kuna siku Mo Dewji alihojiwa kwenye kipindi cha Mkasi EATV akasema namna hivyo vitu vidogovidogo vinavyoleta faida hususani bidhaa za chakula. Mondi anajua hawezi kuwa kwenye chati ya muziki milele.
 
wewe ni kilaza hakuna tena

Cha maana alichokifanya ni kuanzisha hio TV STATION
lkn mwache tu na bado watamfungia tu aache ujinga na ulimbukeni acheze na jamii asilimia 100 aone kama Serikali itamfungia
 
wewe ni kilaza hakuna tena

Cha maana alichokifanya ni kuanzisha hio TV STATION
lkn mwache tu na bado watamfungia tu aache ujinga na ulimbukeni acheze na jamii asilimia 100 aone kama Serikali itamfungia
Jamii ipi unayoisemea wewe? Kila mtu kwenye jamii ana vitu anavyovipenda. Kuna tunaopenda kuziona hizo maungo kwenye vichupa vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…