Swali dogo ila litakusaidia

Dickie tz

Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
30
Reaction score
107
Tunajaribu kuzungumza kidogo,

Hivi, Morogoro road ni jina la barabara au tuseme ni neno au je? na je, ni sawa kusema hivi "Niko barabara ya Morogoro road?"

Na Kwa mfano wa Zulu wakiongea ki lugha Chao wakitaka kuitaja barabara hii wataliingiza neno hili "Morogoro road"? Au watasema Morogoro na kisha kilugha Chao?

Na sisi Kwa kiswahili je tuseme hii ni Morogoro road au hii ni Barabara ya Morogoro? Jina ni Lipi?

Na Kama ikiwa ramani ya kiswahili je bado ile itaitwa Morogoro road au Itaitwa barabara ya Morogoro?

Kuna mtu anasema Morogoro Road si jina ni Neno tu, jina hapo ni Morogoro maana halibadiliki ila road inabadilika Kwa lugha husika.

JE "MOROGORO ROAD" NI JINA AU NI NENO?
 
[barabara ya (morogoro] road)

Mwenye akili timamu tu ndo atakuwa ameelewa
 
Morogoro road means barabara inayoelekea Morogoro sawa sawa na Singida road, Dodoma road, Arusha road. Sidhani kama ni jina rasmi ila linatumika kama jina la barabara husika.
 
"Barabara ya morogoro road " ndo tunavyoitaa sie waswahili ila inatakiwa iitwe barabara ya morogoro au kwa kizungu "morogoro road"
 
Sijaelewa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…