Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Habari za kazi waungwana

Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu?

Picha haihusiani ila uzi bila picha haunogi.

1636398399820.png
 
Nimemuuliza mke wangu akajibu kuwa endapo mzazi wake akihitaji figo atamtolea. Moyo wangu wa kibinafsi kweli nikajikuta tu nachukia. Mie nishamuoa na nimelipa mahari yote nimemaliza inakuaje akatoe figo kwa maamuzi yake.

Kuona nimekwazika akaniuliza na mie swali, Je mama yako mzazi akihitaji figo na yeye (mke wangu) ana sifa zote pekee za kutoa figo, nitamzuia? Nikamjibu sasa mama yangu utakataaje? Again am very selfish person
 
Hapo siyo swala la ndoa tena. Bali swala la kifamilia na ubinadamu.

Ni mzazi wake, kama afya yake ni njema basi amtolee tu.

Jiweke katika mazingira ya wewe kama mzazi, unaumwa. Binti yako ajitolee kukupa figo lakini mumewe anamkataza, ungelijisikiaje?
 
Unajua sisi wachaga mwanamke hana urithi kwao, bali ana urithi kwa mumewe. Unapomuoa mwanamke anakuwa mali yako kabisa katika ubinafsi unaona kama mamlaka yako yameingiliwa kwenda kumtolea figo ndugu yake.

Kibinadamu uko sahihi sana na maisha ni safari tu
 
Unaijua kazi ya figo mwilini?

Na unajua madhara anayopata mtu akiwa na figo zenye zina shida?
I have a friend in Kenya, anaitwa Joab Wako. Ni maarufu kidogo. Alikuwa anasoma states akapata matatizo na dada yake Nerima akamtolea figo. .

Nilisoma PCB Advance najua kazi za figo
Ni swali fikirishi dont take it so far
Thanks
 
Yule jamaa starling wa kihindi aliyemuua tiger sijui anaitwa nani. Kuna movie yake yeye akiwa mtoto wa kambo baba yake alimkataa
akawa ameingia kwenye familia ya baba yake bila wale ndugu zake kumfahamu ni nani

Binafsi baba yake akawa hamtaki na kila akitaka kumtimua mkewe na watoto wake wakawa wanampenda sana. Ikafika kipindi baba yake akapata matatizo ya figo

Kuomba kwa mtoto wake wa kiume akakataa kwa sababu ya career yake ya mziki. Akidai hatokuja kuwa mwanamziki mzuri endapo atamkabidhi baba yake figo

Kuomba kwa mtoto wa kike nae akakataan kuwa akitaka kuolewa na kupata mume, ataweza kupata matatizo kwenye kujifungua au kipindi cha ujauzito kwa kutoa figo

Hakuweza kuamini yule mtoto wa kambo ambae alimkataa ndio aliyekuja kumtolea figo, na alikuwa tajiri kweli kweli. .

Swali fikirishi tu, haya mabo yapo.
 
Maamuzi mengine huja tu wakati tatizo linapokuwepo Usoni, sasa Hivi ni ngumu kujua utafanya maamuzi gani
 
I have a friend in Kenya, anaitwa Joab Wako. Ni maarufu kidogo. Alikuwa anasoma states akapata matatizo na dada yake Nerima akamtolea figo. .

Nilisoma PCB Advance najua kazi za figo
Ni swali fikirishi dont take it so far
Thanks

Okay great, nilitaka kwanza nijue kama wajua umuhimu wa figo mwilini...

Sasa tukirudi kwenye mada yako, kwa kuzingatia umuhimu wa figo mwilini, kwa mwenza yoyote muelewa sidhani kama atapinga pale ambapo uhai wa mtu mwingine unaokolewa na mke/mume wake...
 
Amtolee chochote atakacho isipokuwa mbususu. Mbususu nimeilipia mahari aiache salama nipate pa kupumulia
 
Maamuzi mengine huja tu wakati tatizo linapokuwepo Usoni, sasa Hivi ni ngumu kujua utafanya maamuzi gani
Utafanya maamuzi ya kiume hapo. Kiubinadamu ni mzazi wake lazima ajitoleee kumtunza
Amtolee chochote atakacho isipokuwa mbususu. Mbususu nimeilipia mahari aiache salama nipate pa kupumulia
ahaha hapo uko salama. Sijawahi sikia mtu anadonate mbususu
Imagine ingekuwa mtu anadonate mbususu hapo ungepiga stop
 
Ata akimtolea mtu mwengine ni sawa bado ame save life

Tuache kuwa ungretful ,selfish morons

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanao wa sweet corner nakupa hi kunguru wa manzese
Yes akimtolea mtu mwingine anaokoa maisha yake

Ungrateful
Selfish
Morons

hayo maneni umenikumbusha series za telenovela
 
Figo si yake????

Yaani asimuokoe mzazi wake???

Binadamu tuache ubinafsi
Figo yake
Yeye ni mke wako
Atahitaji sana huduma nyingi baada ya kutoa figo
Ila zitakuhusu wewe, mumewe, japo figo yake

Nahitaji sala ya kitubio , ubinafsi mbaya
 
Utafanya maamuzi ya kiume hapo. Kiubinadamu ni mzazi wake lazima ajitoleee kumtunza

ahaha hapo uko salama. Sijawahi sikia mtu anadonate mbususu
Imagine ingekuwa mtu anadonate mbususu hapo ungepiga stop
Kujitolea sio swala na atoe tu ila inahitaji muda wa kuzungumza nae pia
 
Back
Top Bottom