Unajua sisi wachaga mwanamke hana urithi kwao, bali ana urithi kwa mumewe. Unapomuoa mwanamke anakuwa mali yako kabisa katika ubinafsi unaona kama mamlaka yako yameingiliwa kwenda kumtolea figo ndugu yake.Hapo siyo swala la ndoa tena. Bali swala la kifamilia na ubinadamu.
Ni mzazi wake, kama afya yake ni njema basi amtolee tu.
Jiweke katika mazingira ya wewe kama mzazi, unaumwa. Binti yako ajitolee kukupa figo lakini mumewe anamkataza, ungelijisikiaje?
I have a friend in Kenya, anaitwa Joab Wako. Ni maarufu kidogo. Alikuwa anasoma states akapata matatizo na dada yake Nerima akamtolea figo. .Unaijua kazi ya figo mwilini?
Na unajua madhara anayopata mtu akiwa na figo zenye zina shida?
I have a friend in Kenya, anaitwa Joab Wako. Ni maarufu kidogo. Alikuwa anasoma states akapata matatizo na dada yake Nerima akamtolea figo. .
Nilisoma PCB Advance najua kazi za figo
Ni swali fikirishi dont take it so far
Thanks
Utafanya maamuzi ya kiume hapo. Kiubinadamu ni mzazi wake lazima ajitoleee kumtunzaMaamuzi mengine huja tu wakati tatizo linapokuwepo Usoni, sasa Hivi ni ngumu kujua utafanya maamuzi gani
ahaha hapo uko salama. Sijawahi sikia mtu anadonate mbususuAmtolee chochote atakacho isipokuwa mbususu. Mbususu nimeilipia mahari aiache salama nipate pa kupumulia
Mwanao wa sweet corner nakupa hi kunguru wa manzeseAta akimtolea mtu mwengine ni sawa bado ame save life
Tuache kuwa ungretful ,selfish morons
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Figo yakeFigo si yake????
Yaani asimuokoe mzazi wake???
Binadamu tuache ubinafsi
Kujitolea sio swala na atoe tu ila inahitaji muda wa kuzungumza nae piaUtafanya maamuzi ya kiume hapo. Kiubinadamu ni mzazi wake lazima ajitoleee kumtunza
ahaha hapo uko salama. Sijawahi sikia mtu anadonate mbususu
Imagine ingekuwa mtu anadonate mbususu hapo ungepiga stop