Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 30, 2024 #1 Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli? Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?
Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli? Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?