Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu
CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa
Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne
Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana utayari bado wa kuchanja chanjo hiyo
Sasa je wapinzani waliopigania haswaa ili chanjo iletwe kwa kuona raia tutapotea sana na wakatuonea huruma(nashukuru kwa hilo)
Mbona hizi chanjo hadi sasa zimeshindwa kuisha na wakati ni chache saana.Je wafuasi wa upinzani ni wachache saana?
Je walikuwa wanapigania wasiloliamini?
Je walikuwa wanapiga kelele tu kuendana na mdundo uliopo?
Je tuamin kwamba zile kelele za kuibiwa kura sio sawa maana wanaopinga wengi chanjo ni CCM na ndio maana chanjo hazijaisha.
Tuamini kwamba wapinzani idadi yao ni ndogo saana ndio maana chanjo 1milioni zimeshindwa kuisha
Hoja haiwez kuwa watu wameisusa maana hakuna muelevu atakae kataa matibabu ya kuokoa maisha yake kwenye janga la namna hii..