Swali fikirishi: Ni kweli wana-Mbeya ni wasahaulifu kiasi hiki.?

Actually miongini mwa maeneo SSH atapata kura nyingi halali ni Mbeya.
 
.mkuu wanasombelewa haooo....mtaani kwa mtaaa. Kila balozi na watu wake. Na ole ugome

Unapewa uhaini
 
Tunasahau baba zetu, mama zetu, wake zetu, watoto wetu, dada na kaka zetu.
 
Hao wameletwa na mabasi.

Usisahau Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…