Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya.

Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari?

Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
 
Huo ndio UKWELI wenyewe, kwa wanayotutendea hawa KENGE ilipaswa tukinukishe long time kitambo.

Ripoti za CAG ni madudu yasiyoelezeka, lakini tupo kimya, wachache tumeamua kuwa keyboard warriors, na walivyotuzoea sasa, likitokea la kutokea wanaleta habari MSANII DIAMOND ANA MIMBA😂🤣 tunasahau yote, sisi ni zaidi ya kuku ujue, wepesi kusahau, siku uwoga utakapoisha basi litatokea jambo, paka mgonge gonge lakini usimuweke katika hali ya HAKUNA NAMNA lazima ajitetee kwa mpambano ili aishi. Huu unafiki wa amani yetu sijui kimeenda kimerudi ni moja kati ya adui zetu wakuu, hakuna amani nzuri ya namna hii.
Level ya elimu ikiongezeka nadhani watu wengi watashtuka.
Mtaji mkubwa wa wanasiasa nchi ni UJINGA WETU SISI WADANGANYIKA.

Wanasiasa nchi hii ni kama miungu watu, wanafanya ya hovyo mengi mnoo
 
Attachments

  • FB_IMG_17186935862077137.jpg
    FB_IMG_17186935862077137.jpg
    405.7 KB · Views: 3
Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya.

Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari?

Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama kila siku anaenda Oman kwa miguu kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
Kenya Kuna Ufisadi mara 3 ya huo wa Tanzania.

Hata hivyo Kuna watu waliwajibishwa kwa.kiasi Fulani.

Mwisho Mtanzania hana shida za njaa au Ardhi au pa kulala ,maisha Tzn hii ukilala.na njaa ni ujinga na uzembe wako tuu
 
Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya.

Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari?

Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama kila siku anaenda Oman kwa miguu kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
Huijuuwi siasa ya Kenya, hizo ni siasa tu.
 
Back
Top Bottom