Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake.

Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi.

Style ya special branch ya makaburu.

Style ya State research bureau ya Amin.
 
SSH amejitanabahisha kwamba anataka kuvunja rekodi hiyo washindani wake ni Hitler
 
Kwani zama hizi ziliisha lini, enzi za ticha konde hazikuwepo,? sijui alhaji na big wa lupaso, ila kwa yule m1 kati ya wawili wenye akili pale yanga, yalikuwepo, kwa mwendazake yalikuwepo, hapa kwa hondo hondo mlezi wa wana, habari ndio kama unayo.
 
Back
Top Bottom