Swali: Fine ya kuchelewa kufanya clearance ya gari bandarini ni ngapi?

kabwinyola

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
560
Reaction score
681
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku?

Naomba msaada wenu,

Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku ya mwisho ya kulipia TRA nitoe gari ,lakin mahesabu yao ya awali yametofautiana na nilipoenda kulipa, nauliza je fine kwa siku wanatoza sh ngapi??
Maana TRA hawafanyi kazi Leo na jumapili mpaka jumatatu hapo kuna siku mbili hizi zitazid

Gari ni noah little hiace

Asante na shukrani
 
baada ya siku 7 za kwanza kuisha grace/fr

Kwanza mkuu nikujuze, TRA na bandari wanafanya kazi masaa 24 siku 7 za wiki kwa mantiki hiyo wakala (clearing agent) uliempa kazi anapaswa kulipa gharama za ziada maana yeye ndo atakua amesababisha kwa kushindwa kutoa mzigo wako kwa wakati (within free period).
Gharama zinazotozwa baada ya siku saba (free days) ni kama ifuatavyo;
1. Storage charges $1.0 plus VAT per day per CBM (Cubic Measurement yaani Lenght x Widht x Height ), Noah Liteace ina CBM 14.958, kwa hiyo storage kwa siku ni ($1.0 x 14.958) + VAT = $17.65
2. Removal charges hii hutozwa mara moja (fixed) ambayo rate yake ni $2.0 plus VAT, so removal itakua ($2.0 x 14.958) + VAT = $25.30
Handling charges, wharfage charges na Corridor Levy, gharama hizi ni general bila shaka utakua ulizilipa awali.

Kwa huduma ya Uwakala (Clearing Agent) wasiliana nasi;

S.A Link Traders Ltd.
(Clearing and Forwarding Company)
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbour View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Karibu Sana.
 
Back
Top Bottom