SijaelewaSwali fyatu! Funga tu shekhe au hujala dakku[emoji28][emoji28] jokes
Ndio. Kuna mwaka Tanzania, kwa miezi mitatu mfululizo mwezi uligoma kuandamaHili ni swali fyatu kwa watu wadadisi wa mambo
Je Jua linaloonekana Marekani ni tofauti na Jua la bara la Afrika, Kuna aina ngapi za Jua? Ni Jua moja kweli!!!!!!!!
Je mwezi unaonekana Saudi Arabia ndio huo huo mwezi unaonekana Afrika? Kuna Mwezi aina ngapi? Ni mwezi mmoja huo huo!!!!!!!
Jua au Mwezi unaoonekana kwenu uko Songea mtaa wa Seedfarm ndo huohuo unaoonekana Naliendele Mtwara au Kakamega Kenya au SaudiaSijaelewa
Jua la Dar es Salaam ndio hilo hilo Jua la Arusha, Je kuna Jua la Arusha na Dar es Salaam
Mwezi unaonekana Tandahimba ndio huo unaonekana Tanga au ni tofauti
Achana na iyo Comment yako, mimi nmependa tu the way mdomo wako ulivoSwali fyatu! Funga tu shekhe au hujala dakku😅😅 jokes
Mbona wakati wa kufunga watu hawabishani kama sasa wakati wa kufunguaKutofautiana masaa ...Jaalia kwa miaka ya zamani kila mji walikuwa wanaangalia mwezi na hata umbali kweny sehemu nyingine ni mkubwa kwa vile kwa sasa kuna mawasiliano na usafiri unaweza kufika hata kupewa taarifa ya mahali pengine popote duniani..
Mtu mmoja kutoka sehemu kwa zama hizo haweza kupeleka taarifa ya mwezi kwingine maana kuna umbali hata wa siku nzima kufika sehemu nyingine so watu walifuata kinachoonekana kweny mji wao na wote walikuwa sahihi.
Kwa hali yeyote watu wapo sawa .
Je wakati wa kifunga kuna ambatana na tukio lolote ambalo lina affect mpaka serikali, jamii na Dini zingine....wakati wakufunga hakuna mambo ya watu kutokwenda kazini nk ni mtu na funga yake tu, tunatofautiana sana tu kwenye kuanza kifunga hautosikia kelele kwasababu hai affect ishu zingineMbona wakati wa kufunga watu hawabishani kama sasa wakati wa kufungua
Angalia vipind vya nyuma tulikuwa tunafunga tofauti ...Sema nn dini imekamilika kila mtu yupo sawa ..Mbona wakati wa kufunga watu hawabishani kama sasa wakati wa kufungua
Una uhakika ni wangu boss😂😂Achana na iyo Comment yako, mimi nmependa tu the way mdomo wako ulivo