Swali gani hupendi kuulizwa?

Kuna ile unaenda ugenini mgeni unakuwa wa kwanza kuambiwa pakua msosi sasa kwa aibu unapakua kiduchu ambacho hushibi AF ukimaliza kula unaulizwa uongezewe chakula?
 
Wewe dini gani?? Au mjinga mwingine aulize
Wewe kabila gani??
Hayo maswali mawili sipendi, kama ni interview nakata hapohapo.
 
Kuna ile unaenda ugenini mgeni unakuwa wa kwanza kuambiwa pakua msosi sasa kwa aibu unapakua kiduchu ambacho hushibi AF ukimaliza kula unaulizwa uongezewe chakula?
Hahaha hii hata mi siipendi asee
 
Unanipigia simu usiku alafu unaniuliza nafanya nini...... Hua najibu niko nje naota jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…