hahaha..Ushawah kuwa na wanaume wangapi?
Nakujibu 2 tu hahah
Ndio msiwe mnatuulizahahaha..
KE wote hili ndio jibu lenu kama mmeambizana.
mi huwa siliulizagi hilo swaliNdio msiwe mnatuuliza
Uache kabisami huwa siliulizagi hilo swali
Hahaaha[emoji12] [emoji12]Unakwenda wapi?
jibu langu uwa moja tu."vipi unanidai?"
mi napenda sana ukweli...so waweza nambia tuUache kabisa
Maana mkiambiwa ukweli hampendi
Haha..umetisha.nalipenda sana hili swali,
huwa nawajibu in short tu Wowowooo..