Swali gumu. . . . . . .!!


Kaunga,

Pole kwa kuangukia kwenye taaluma za watu....Hayo maneno ni tofauti kabisa kwa sababu moja linamhusu mwanandoa na jingine linatumika kwa watu wasio na mahusiano.

Tatizo ni kwamba watu wa kawaida tunapata shida kutofautisha....

Hata mie nimeyachanganya mara nyingi tu!!

Hongera sana kwa kukumbuka biashara ya kitubio!!

Babu DC!!
 

Hahahahahahahah,

Ndugu yangu ukiamua kunyambua haya mambo lazima utaishia mbali zaidi........

Vinginevyo mtu anaweza pia kutembea na marehemu mtarajiwa!!

Babu DC!!
 
Sawa kabisa!!

Ila burden wanazobeba ni tofauti...Yaani mwizi na msaidizi wake hawawezi kubeba mzigo ule ule, na tena mwizi wa kutoteza uaminifu!

Babu DC!!

Eeewaaaa! Nina hakika kabisa wewe umeelewa vyema kabisa. Ni kweli kabisa wote hawatabeba lawama zinazolingana na kama kuna adhabu basi wote hawatapewa adhabu inayofanana.

Nina mfano hai mmoja wa mauaji ya mtu maarufu huku nilipo. Jamaa aliporwa na vibaka watatu na akapigwa risasi akafa. Hizo risasi hakupigwa na wote watatu. Aliyempiga alikuwa mmoja.

Baada ya kumpiga risasi wakaingia kwenye gari yao wakatimua. Aliyeendesha gari hakuwa ni yule aliyempiga risasi. Baadae wakaja wakakamatwa na kila mmoja akafunguliwa mashitaka lakini yule aliyefyatua risasi zilizomuua ndiyo alipewa adhabu kubwa zaidi kuliko wale wawili ingawa nao waliadhabiwa ila kulingana na ushiriki na makosa yao na adhabu zao hazikuwa sawa na ya yule mfyatua risasi.

Lakini si kwamba waliachiwa huru kwa kuwa wao hawakuwa ndiyo waliofyatua risasi zilizomuua jamaa.
 
RR and DC
Asanteni sana kwa michango yenu!
I like hiyo ya kumcheat mume to be. Jana Husninyo alisema yeye anajicheat mwenyewe; nami as a Catholic nafundishwa kuwa mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, so even before thinking of mume to be; namcheat Holy Spirit!
 
Hahahahahahahah,
Ndugu yangu ukiamua kunyambua haya mambo lazima utaishia mbali zaidi........
Vinginevyo mtu anaweza pia kutembea na marehemu mtarajiwa!!
Babu DC!!

Haha ha, watakuja wanaotembea na waume za watu wakasema wanatembea na widow to be! LOL
 


Kaunga,

Hongera sana kwa kushika dini yako...Mwombe Mungu akusaidie umpate mtu ambaye atakupa support uendelee hivyo maisha yako yote....

Wapo watu ambao walijitunza ila baada ya kuoa/olewa wameshindwa kujua kwa nini waliitunza hiyo miili kwa sababu waliopewa wameshindwa kuithamini kabisa!!


Babu DC!!
 
Pole pole DC
I am not clean as you think! I am trying though.
 

mmmhh....Kaunga!
 

Kweli kabisa,

Tukirudi kwenye mada,

Mtu anayefanya uzinzi ana makosa matatu...kumkosea mwenzi wake, kutenda dhambi yeye mwenyewe na kumtenda dhambi mtoto wa mwenzi wake!

Ila yule anayefanya uasherati na mume/mke wa mtu wakati yeye ni bachela hana mtu anayemkosea zaidi ya kutenda dhambi yeye mwenyewe na kumwingiza kwenye dhambi huyo mtu wanayefanya naye ufuska!

Suala la mke wa huyo mwanamume linamgusa kama binadamu ila mwenye wajibu wa kutomuumiza ni mume wake!!

So the man, anafanya cheating yenye uzinzi ndani yake wakati huyo dada anafanya uasherati tu (she is not cheating anyone)!

Babu DC!!
 
Ila yule anayefanya uasherati na mume/mke wa mtu wakati yeye ni bachela hana mtu anayemkosea zaidi ya kutenda dhambi yeye mwenyewe na kumwingiza kwenye dhambi huyo mtu wanayefanya naye ufuska!

Kwa hiyo hapo huoni kwamba yeye huyo mtu ambaye yuko singo na kwa makusudi analala na mume ama mke wa mtu, kwa kufanya kwake hivyo anakuwa hamkosei mwenza wa huyo mwenzake aliye na ndoa?

Sijui kama nimeeleweka hapo. Ngoja nitoe mfano wa mimi na wewe na tafadhali usichukulie personal. Ni katika kueleweshana tu.

Mimi najua wewe una mke. Inatokea mimi na mkeo tunaanza affair. Sawa, mkeo atakuwa anakusaliti wewe na ndoa yenu. Lakini huoni na mimi pia nitakuwa nakukosea wewe kwa namna moja ama nyingine kwa sababu najua fika kuwa huyo ni mkeo lakini sijali hilo, naamua kutembea naye huku nikijijua fika kabisa ni mkeo?

Hapo nitakuwa sikukosei? Natambua kuwa aliyeweka nadhiri ya uaminifu kwako ni mkeo, lakini mimi kwa kushirikiana naye kuivunja nadhiri hiyo nitakuwa sijakukosea?
 
Hahahaha, Kipipi mambo? are you well? Umemzoma Kaunga? nimecheka hata nashindwa kuchangia. hahahahaha

Nimemsoma ndugu yangu, yaani leo my sister Kaunga ananifanya nisibanduke kwenye huu uzi ( nimempenda though)!! Btw, mie mzima kabisa mpendwa wangu......vipi wewe? Dah.....nimekumiss Roulette, hatujameet siku nyingi kidogo!
 
Nimemsoma ndugu yangu, yaani leo my sister Kaunga ananifanya nisibanduke kwenye huu uzi ( nimempenda though)!! Btw, mie mzima kabisa mpendwa wangu......vipi wewe? Dah.....nimekumiss Roulette, hatujameet siku nyingi kidogo!
Nimekumiss pia, I was not in, nilikua naingia mara chache, kujibu PM tu na kutoka. But nimerudi sasa. 🙂
 

Utakuwa umenikosea illa kosa lako kwangu siyo kubwa kama la mke wangu ambaye alikula kiapo cha kuwa mwaminifu kwangu hadi kifo. Kosa lako ni la kimaadili ila kosa la mke wangu ni la kuvunja kiapo/nadhiri.. Hayo makosa hayana uzito sawa hata kidogo!

Halafu kwenye hili tatizo, huyo dada hana obligation yoyote ya kutunza uaminifu wa mume kwa mke wake. Ila ona obligation kama mwanajamii mwingine la kutomtendea vibaya mwenye mume!

Babu DC!!
 
Hata sijielewi kama nimeelewa au am more confused.

Kwahiyo mme wa mtu ni sawa na kuiba nyoya la kuku na kumsababishia maumivu ya makusudi, sio sawa na kuku mwenyewe???

Helpppppppppp!
 
DC unajua nini, some of us (cheaters hasa wanaume) huwa hatutaki kukubali na kuchukua kosa lote, lazima tutafute wa kumgaia lawama!

Au tutankaumu, wife kwa kuwa mchoyo/mchovu etc,
Au tatamlaumu huyo other woman kuwa alinitega (aliniona mimi si rijali etc)

So kuchukua mzigo wote wa makosa inakuwa ngumu, ref Adam alivyooulizwa na Mungu; akasema ni huyo mwanamke uliyenipa ..... (kipipi, nimejaa mistari.LOL)

Wanasema ukikosa wa kumblame, blame hata weather!

Ulichokisema ndicho nilichosema jana, hadi nikagive up; naona MH, ameona akutolee mfano wewe! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…