Swali gumu. . . . . . .!!



Haya mambo siyo rahisi hata kidogo...tena ukiingiza philosophy inakuwa balaa!!

Vyovyote vile, kila jamii ina definitions zake zinazosaidia kuweka mipaka kati ya tamaa za hisia na matendo.

Kama tukichukulia hii mitazamo ya dini basi kuna watu watakuwa wamelamba shea ya kutisha sana....Imagine, wanawake wangapi wamefanya na mtu kama The great? Au wanaume wangapi watakuwa wamazini au kufanya uasherati wa hisia na baadhi ya warembo?


Babu DC!!
 
Duh!Suala gumu hili aisee!
 
Pole sana,
Kama umesali vizuri na bado devil akakukaribia basi inabidi uombewe....
Omba tu msaada ili wenye upako wajitokeze kukupa support!!
Babu DC!!

DC una upako? I think kweli nahitaji deliverance!
 
kumbe basi hata ukiishi na mtu ambaye hamjaoana, ila mko waaminifu for each other, mtakuwa mnazini mpaka mwisho wa maisha yenu?
 
Mpaka sasa najiuliza sipati jibu. Sijui kwanini mzee na babu mwenzangu DC ameamua kuwapotosha wajukuu zetu kwa kiwango hiki. Ngoja kwanza niongeze Gines moja ya mwisho.
 
sasa ww heading yko eti unaandika swali gumu.
 
Mpaka sasa najiuliza sipati jibu. Sijui kwanini mzee na babu mwenzangu DC ameamua kuwapotosha wajukuu zetu kwa kiwango hiki. Ngoja kwanza niongeze Gines moja ya mwisho.

Ulevi nomaaaa!!
 
Mimi sijaelewa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…