Mchakato wa kuunda katiba mpya ulitangazwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Tume ya mabadiliko ya katiba ilichaguliwa na kutangazwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na Raisi wa Zanzibar Mh Dr. Ali Mohamed Shein.
Tume ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na Raisi wa Zanzibar Mh Dr. Ali Mohamed Shein ilifanya kazi kwa kutumia hadidu za rejea .
Rasimu ya pili ya katiba ilikabidhiwa na tume ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na Raisi wa Zanzibar Mh Dr. Ali Mohamed Shein kama sheria ilivyotaka.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete aliichapisha rasimu yake (rasimu ya tume yake) kwenye gazeti la serikali. na kutia saini yake kuithibitisha rasimu hiyo.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushirikiana na Raisi wa Zanzibar Mh Dr. Ali Mohamed Shein.
Wakateua wajumbe 201 pamoja na wajumbe ambao wanatokana na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wale wa baraza la wawakilishi ambao kwayo waliingia kuwa wajumbe moja kwa moja.
Kwa mamlaka aliyopewa na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akazindua bunge maalumu la katiba ingawa kwa staili tofauti na Rasimu yake aliyoiidhinisha.
SWALI: Haya matusi anatukanwa nani...?
Hima hima tusiwatukane viongozi wetu, tuwakosoe na kusahihisha walipokosea.