Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Wakuu salaam sana,najiuliza sana hili swali kila mara inamaana hawa wanasayansi wameshidwa kuvumbua kinga ya kuzuia malaria kwamba mtoto akizaliwa anapigwa tu hiyo na hata mbu wamuuje hawezi umwa malaria.
Au hawa wazungu wameshafanya miili yetu biashara ndani ya miezi miwili nimetumia doz 2 ikiwemo mseto na sasa najihisi kama nina malaria tena,ni hayo tu wakuu
Au hawa wazungu wameshafanya miili yetu biashara ndani ya miezi miwili nimetumia doz 2 ikiwemo mseto na sasa najihisi kama nina malaria tena,ni hayo tu wakuu