Swali,hii dunia imeshidwa kuvumbua kinga ya malaria

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Wakuu salaam sana,najiuliza sana hili swali kila mara inamaana hawa wanasayansi wameshidwa kuvumbua kinga ya kuzuia malaria kwamba mtoto akizaliwa anapigwa tu hiyo na hata mbu wamuuje hawezi umwa malaria.
Au hawa wazungu wameshafanya miili yetu biashara ndani ya miezi miwili nimetumia doz 2 ikiwemo mseto na sasa najihisi kama nina malaria tena,ni hayo tu wakuu
 
Tumia immune boosters,hautapata malaria.
 
Tumia immune boosters,hautapata malaria.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako tunaomba utuelishe zaidi kuhusu hiyo immune booster, ni nini ? dawa ? na inapatikana wapi ? au ni utaratibu gani huo ? kwani tatizo hili la malaria ni janga kwa wengi sana
 
Haijashindwa mkuu, ila ni kukamilisha ule mpango wetu kwa dunia nzima kubaki na watu milion miatano pekee. Order tulishaitangaza ile siku ya september 11. LIVING WITH PEACE AND HARMONY BUT THE RESOURCES ARE SCARCITY. SO ndo maana unaona UKIMWI,MALARIA,KISUKARI na sahivi tunaanza kuplant EBORA taratibu
 
Malaria ni dili! Unadhani ikiisha watafiti, watengeneza madawa, makampuni ya matangazo, waongoza semina n.k watakula nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…