Swali; hivi kesi ya "mtesaji" wa ulimboka nayo ni ya kigaidi?kama sio kwanini?

Swali; hivi kesi ya "mtesaji" wa ulimboka nayo ni ya kigaidi?kama sio kwanini?

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
 
Wanafalsafa tunaheshimu wanofikiri vizuri, wanaofikiri sawa sawa. Kwa swali hili kweli inabidi nikubali pamoja na Falsafa yangu, ndugu yangu Kimagege Hongera, umetufikirisha. Kwanini Kesi ya Dk Ulimboka sio ya Kigaidi? mbona matendo yanayotajwa katika kesi hiyo yanafanana sana na kesi inayotajwa kuwa ni ya ugaidi? Nimeipenda hii!
 
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.

great thinker!
 
asante mleta thread!ila jibu utakalopewa ni kuwa yale ya ulimboka ni mambo ya kijambazi tu!
 
Back
Top Bottom