Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD wengi wanatoka familia za kimasikini hawana mitaji kuanzisha kilomo kikubwa.Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo?
PhD wengi wanatoka familia za kimasikini hawana mitaji kuanzisha kilimo kikubwa.Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo?
Nenda SUA utawakutaNi kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo?
Unaota eeh!Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo?
Jobless ndio cheo gani hicho?,kwa taarifa yako wakulima wakubwa nchi hii wengi ni wasomi na vyeo wanavyo,kalagabaho.Wewe huenda ni wale wanaoulizwa kazi yako ni ipi? Unajibu mimi ni mkulima tu! Yaani una ile mentality ya kushindwa kusema kuwa wewe ni jobless
Anaita huyu!Dr. Ramadhani yusufu pale UDOM ni mkulima na mjasiriamali mkubwa tu.