π€£π€£π€£wanapigwa nyuma
Mwanasuaso umegraduate mwaka gani?Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila sura nzuri.
Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana vichogo sasa najiuliza hawa watu hua wanapigwa nyuma hadi kichogo kiingie ndani au? nashindwa kuelewa kwa kweli
Tayari umesema wachaga wana makomwe sasa rudi kwenye mada. Kwanini wazenji hawana visogo ?unajua kazi ya kisogo?Kwanini wachaga na wamasai wana makomwe
Kwanini wamakonde wana vipilipili
Ni kwa sababu hawana akiliHilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila sura nzuri.
Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana vichogo sasa najiuliza hawa watu hua wanapigwa nyuma hadi kichogo kiingie ndani au? nashindwa kuelewa kwa kweli
wewe mbona mama yako hana matako?Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila sura nzuri.
Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana vichogo sasa najiuliza hawa watu hua wanapigwa nyuma hadi kichogo kiingie ndani au? nashindwa kuelewa kwa kweli
Bila shaka wewe ni mzanzibar na hauna chogo sijawahi kuona mzanziba r anakichogo yaani unakuta kichwa kama panzi π π πMkuu, umechanganya ujinga na utafiti
Umeona watu wachache wenye umbo fulani la kichwa, ukaamua Zanzibar nzima haina kisogo. Hiyo si observation, ni stereotype.
Kama kweli unaamini ni jambo la kisayansi, leta data umechunguza Wazanzibari wangapi, sample size ilikuwa ngapi, na methodology yako ilikuwa ipi?
Maana kwa sasa ulicholeta si swali bali ni dhihaka iliyovaa koti la swali.