Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.
sasa hapa ndio umemalizaNi swali zuri na inaonesha uko makini. Nami naongeza swali.
Je Spika ni lazima awe mwanachama wa chama cha Siasa?