Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Hicho kiingereza tufafanulie waswahili " is too theoretical and vacuum ";Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.
Au mnasemaje.
Anayeondoka ndo huwa anaaga.. Hivyo ukifa unakuwa umeiaga duniNimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.
Au mnasemaje.
It is too hypothetical, tentative and tantalised.Hicho kiingereza tufafanulie waswahili " is too theoretical and vacuum ";
ulikuwa unamaanisha nini.
Kauli ina miaka 60 hii ujueNimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.
Au mnasemaje.
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.
Au mnasemaje.
Dunia ipi hiyo?It is too hypothetical, tentative and tantalised.
Na dunia si inaondoka na kukuacha ukiwa umelala maiti. Teeh teeh.Anayeondoka ndo huwa anaaga.. Hivyo ukifa unakuwa umeiaga duni