Boko haram JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 3,256 Reaction score 1,231 Nov 14, 2012 #1 wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,647 Nov 14, 2012 #2 Mi naona limejivua nguo,mana linachoma kama pasi