Swali: Hypertension inatibika?

Swali: Hypertension inatibika?

Punguza chumvi au acha kabisa. Acha kilevi, acha kuvuta sigara. Fanya mazoezi ya viungo. Kula mboga mboga na matunda kwa sana. Kula dona na brown rice badala ya sembe na white rice.

Muone daktari akupatie dawa nzuri za kuweka sawa hypertension yako.
 
Usiache kutumia dawa zako hata siku moja na pia chunga sana lifestyle yako,angalia usije ukageuka dabete kwani hiyo kitu na hypatention ni kaka na dada mmoja akiingia sehemu basi mwingine atanyemelea na ukilala kaingia.Jihadhari sana usiangukie ktk stroke.
 
Back
Top Bottom