Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Habari za mda huu Wana if.
Katika maisha yetu kama binadamu tunapitia mambo mengi ups and downs za kutosha changamoto,vibwanga na mambo mengi kama hayo .
Swali je, Maisha yako yangekuwa movie ungeliweza kuangalia na wazazi wako ?