Swali jamani nisaidieni

funda

Member
Joined
May 9, 2020
Posts
16
Reaction score
5
Naomba kuuliza nimemaliza diploma ya Clinical medicine NTA level 6 nakupata GPA ya 2.6 semister one afu 4.5 semister two, kwenda MD wana angalia GPA ya semister gan au toka first year ???
 
Sijui kwenye ma MD yenu, sisi huku kwenye education G P A ya mwaka wamwisho ndio inaangaliwa. Na huwa sio za semester 1 tu
 
Naomba kuuliza nimemaliza diploma ya Clinical medicine NTA level 6 nakupata GPA ya 2.6 semister one afu 4.5 semister two, kwenda MD wana angalia GPA ya semister gan au toka first year ???
Chukua average hapo ya 4.5 na 2.6 then ukipata above 3 bas umequalify kwenda md
 
Nenda nacte wakupe transcript. Hapo ndo utaona umesimama wapi. Vyuo vya clinical medicine hesabu zao ni za kiboya. Unaeza kupiga calculation yako af ukienda nacte kuchukua transcript ukajikuta uliuza bunduki ukanunua rungu.
Ili ujie fyucha yako pata transcript, ukiona haujatoboa GPA ya 3 and above, usihangaike, tafuta spika ya mkono uza sumu ya panya au ingia kwenye mfumo ukatupwe ifilandama kijijini
 
Sawaaa ila kwa GPA zangu hizo mbili kukosa tatu ni ngumu
 
Na kama unahela usihangaike na vyuo vya serikali hutoboi.....kwa gpa hio watafute kina st Francis, kampala huko..
Huko ndio naenda sina mpango na serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…