iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
Jamani washikaji nina swali nataka niulize humu Jamii forum, eti Umetoka kwenye mizunguko yako ya kila siku ya kutafuta mkate , wakati uko njiani kurudi maskani , unakutana na tukio la ajabu. Tukio hilo ni mama yako mzazi anakabwa na vijana wa kihuni wana silaha za jadi kwa mfano , vijana hawa wamemzidi mama nguvu na wewe pia unaona kabisa huwezi kuwadhibiti kwa haraka haraka , fikra zinakujia kuwa ukimbie nyumbani ambapo ni sehemu ya dakika moja mathalani kwenda na kurudi hapo , unakimbilia nyumbani kufata sime lako unaingia na mlango kwa nguvu unakutana na tukio la mke wako anachezeshewa Dudu la Yuyu na mpango wa kando , tuongeeni kwa ukweli na kwa fikra za kibinadamu , je kwa kawaida unahisi utaanza kufanya nini ? Je kumdhibiti mwizi wako au utarudi kwa mama kumsaidia ? Wengi wetu najua mtaanza kupigana na msela anayekugongea , hilo halina mashaka , mapenzi bwana ... Lets Go ...