Wakuu habari za leo?
Naomba kuuliza endapo kundi la damu linaweza kusababisha mwanamke au mwanamme kuwa mgumba. Naamini wataalam hapa jukwaani watasaidia kutoa majibu sahihi.
Samahani kama unaona huna msaada unaweza kuupita huu uzi, badala ya kutoa kejeli.
Karibuni kwa mjadala[emoji120] .