LuCKNOVICH
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 104
- 11
Wana JF.
Nina fanya kazi na ninahitaji mkopo wa bank,je naweza tumia contribution yangu iliyopo NSSF kama dhamani ya mkopo kwa bank zetu.
Kwa wenye ufahamu naoma mnijuze.
Karibuni

Kama kuna wezi na Mafisadi wa kuburuta mahakamani ni hawa NSSF na wenzio wa mifuko ya jamii,iweje mfanyabiashara asiyechangia hata sh kumi akopeshwe hela za wafanyakazi na wachangiaji wenyewe hawakopeshwi? hawafaidiki na kitu chochote na hiyo michango yao
Baada ya Serikali kupitisha sheria namba 8 ya 2008 inayothibiti na kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, na baada ya Mamlaka yenyewe kuanzishwa, kitakachofuata ni Regulator kuweka utaratibu wa kumwezesha mwanachama kutumia sehemu ya michango yake kama collateral ya kukopa benki. Kama ni mwanachama wa PSPF, PPF, LAPF nk utaweza kukopa benki. Tumpe Regulator muda.
Marhaba watu tunataka mikopo, kwanini usiweke wazi masharti ya mikopo hapo International Commercial Bank kuliko mtu apoteze muda kufuatilia at the end unajua huwezi kopesheka? weka details hapa please