SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

Kuna kaka alikua crush wangu kama miezi sita hivii. Tukaanza kubebishana. Siku akaniambia nikalale kwake. Usiku nimeshtuka nikajua tinga tinga limekuja kubomoa nyumba. Haki nusu nikimbilie dirishani akili kunijia ni ghorofa nikatulia kwanza. Kumbe ni yule kaka ndo anakoroma. Kuanzia saa kumi na moja nilikaa macho nasubiri kukuche nirudi kwangu. Mkaka mzuri ana maisha mazuri mkubwa ila hana mke. Nahisi wanawake wanashindwa kuhimili kule kukoroma.
 
Hahahahhaha uwiii katika vitu sipendi ni mwanaume anayekoromaaa
 
Anataka kusingizia pilipili wakati jamaa alikuwa kachochea ye akaisi pilipili hahahahahahahahahaha!!!!!! Kweri alikupatia.
 
Ya kusimuliwa au ndie muhuska
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…