Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Ila watu mna dhambi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka hapo uliposema ukawa msukule ghafla khaaaaa
 
naona huu uzi umejaa ma HB na WAREMBO, kila anayekoment aliishia kumblock mhusika,,, wekeni picha tuwaoneee,, mana sio kwa kujisifia uko, [emoji23] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usiogopeshwe na comment wengine tulichuniwa pia baada ya first date, wengine tulikimbiwa ila hapa wote tulikimbia watu
 
Mi nishawahi kumkimbia dem mmoja pale kituo cha usalama magomeni.. huyo bidada nilipewa namba na rafiki yake ambae ni rafiki yangu pia.. kipindi hicho niko mwaka wa kwanza udsm.. basi akasema tukutane usalama saa 7 mhh ikabidi mimi ndo niwahi nikaandae mazingira.. kwel fasta nikawa nishafika nikavuka barabara nikatulia upande wa pili ili nimtazame vizur kama kimeo nirud zangu mabibo hostel..
Kweli bwana nikaona kimtu kifupi kipo na mwenzie sasa yule mwenzie ndo mzur.. cha kushangaza yule mbaya ndo ananipigia simu.. af mi brothermen tena nna mihela ya boom hapo.. nilivyoona kakomaa kupga simu nikala daladala za ubungo nikasepa.. alipga simu mpaka bas
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dada niko nafanya mazoezi hapa ya mbio ndefu maana tumetahadharishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
usije anguka tu mdog wangu mdog mdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…