We hujawahi kukimbia mtu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shetan labda
Ungepambana tu na ridhiki yako[emoji3]Nakumbuka nilipokuwa nasoma mlimani kipindi hicho mtandao maarufu ulikuwa hi5 basi kule nikakutana na kijana mmooja matata yaan pichaa alizokuwa ananitumiaa zilikuwa balaaa mtoto wa kike nikadataa though mi zangu zilikuwa za ukweli,basi bwana siku zikaenda tukawa tushazoena yeye alikuwa anakaa mbezi mi nakaa hall 3 basi siku ya siku akaniambiaa anataka tuonane basi bwana nikamwambiaa anifate chuo na tulipanga tuende kwanza best bites coz ilikuwa mchana for lunch.tukakubaliana mi nikawa nipo sana xcited kuonana na mkaka handsome hatareee yaan inshort alikuwa kakamilika kila idara,basi bwana sikutaka anifate kule hall three nikamwambiaa atanikuta container.Basi mtoto wa kike nikauparaaa balaaa akaniambiaa amekaribia pale udasa basi na mm nikajisogeza kituo cha container ....nikawa nimesimama nikshangaa gari limepaki upande wa pili kama unaelekeaa kule utawala......ili kuwa discover nyeusi full tinted ,akanipigiaa simu nimeshakuonaa njoo upande wa pili uingiee ndani ya gari ,nikavuka ile nafunguaa mlango jaman nikishtukaa balaaaaaa manake nilikutana na mbaba mtu mzima zaidi ya baba angu yaan kwa uogaa nikajijutaa namsalimiaa shikamoo baba akaniambiaaa achaa zako,akagunga milango tuakenda jaman alijuaa kanisa sipo comfortable manake mpka tunafika kule nilkuwa kama msukule na yy alilitambuaa hilo basi tulivyomaliza kulaa akanirudisha akajiongeleshaa weee nikashuka akanipa ela nikarudi zngu room jaman baaada ya hapo nolimblock kilaa sehemu....na sijuwasiliana naye tena
Though baadae nilikuja kumuona kwenye tv flan nikajuaa kazi yake na mpkaa sasa najuaa anapofanya kazi na kitengo alipo ila sijawah mtafutaa!!!
Hapanaa...siwezi kumkimbia mtuWe hujawahi kukimbia mtu?
Wewe jamaa umetisha sana asee dahdoooohhh mi sijawahi kukimbiwa ila niliwahi kimkimbia dada mmoja hv......tumejuana kwnye mitandao bs tukapanga tuonane stend kuu mbeya......Bwana weeee........mtu mzima siku hyo nimeoga sanaaa yn jisugua visigino haswaa........nikafuta kiatu changu freeeesh kabisa.......
Yani ilikua lazma nifanye hvo mana mtoto anasema anaishi forest mpyaa bwana......
Nikajiandaa na kawallet kana kama 80 elfu hv kwa ajili ya kwenda kukaa nae maeneo flani mwanana kabisa.
Ebwana weeee......siku nikasema nikipanda daladala toka hapa kabwe mpka stend kule watanichafua.....
Mtoto wa kiume nikakodi kabajaji bwana peke yangu mpka stend.
Bs nilitangulia mm kufika huku yeye akidai ndo anapanda gar pale mkoani anashukia meta then pale anadaka gar ingine mpka stend....
Jamani yule dada anasauti nzuri mpka leo sijawahi kuona...yan ilikua tukiongea kwnye cm dk 5 tu mi tayar dushe imesimama chwaaaa....
Sasa sku hyo mara simu inaita.....""Hello my mi ndo naingia stendi hapa nimepanda gari imeandikwa nanii"""
Haaa yn kuskia hvo aisee nkasema kweli Mungu hamtupi mja wako aiseee.....Yn mtoto wa uswazi leo naenda kubeba bonge la totoooo tena la ushuani.......aaaahhh waniache....
Basi Macho yote kweny lango la stend kuangali gari inayoingia huku nikiwa na taadhari kwamba nihakikishe mim ndo niwe wa kwanza kumuona. Lakn sikuwaza kwamba akiwa m'baya nikimbie bali niliwaza yn akiwa mzuri sana kupita kias na kapendeza kias cha kwamba hatuendani basi nazama mitini mwenyewe na laini natupa.
Mara naona gari inaiingia....moyo unanidunda fasta hapo...mara imesimama...
watu wanaanza kushuka taratibu....kiukweli mpka wanaisha skuona hata mmoja wakuendana na ile sauti....nilikua nimejibana chobingo flani hv ikabidi nijisogeze kdgo karibu na gari ila kwa style flan yn kama vile na mm ni konda pale....
Mara cm yangu mfukoni inaita...bahat mbaya niliweka mlio...bs pale ikawa inaskika cm yangu tu...nikajaribu kuzuga mama mmoja akauliza"" jaman sio simu yangu inayoita"" konda akadakia "" hapana sio yako ni ya huyu broo hapa"" akionesha kidole kwangu.
Basi watu wote wakageuka kwangu macho waaaaaa......!!!
Nilivokauzu nikasema hapana haiiti ni meseji inaingia...
Sasa bhana kumbe yule dada amekaa pembeni ananichora kama ni mm au lah mana nilipoongea sauti yangu akawa ameistukia.....akapiga tena...hahahahahahaa weeeeeeee cm hyo ikaanza kuita.....sasa mimi ile kuangaza nikajikuta nimegongana macho na sura moja hiv hata nikisema ni yakiume ntakua nimewavunjia wanaume heshima.....
wanaume wazur bhana......
nisiongee sana ila yule dada nilimkaushia kabisa pale tena nikajifanya mkatisha tiketi pale kabisaa nilivopata upenyo dk 6 tu nikawa nipo gheto kwangu sebuleni nachek zangu muvi na laini nshaitupa njiani..
Oooh umeona hapo kwamba amenitongoza naomba uvae miwani ukasome tena uzi wangu alafu ulete ushaur wako hapaaaa mxeeew usinitibueeeKubali upo cheap
Hata kama ni jukwaa Gani
Lakini ki uhalisia upo hivyo
Mwanamke aliyefundwa kwao akafundika
Hawez kuwa cheap hivyo.yaani mtu humjuh hata kuonana naye ujawahi anakutongoza Na unamkubalia
Duh inamaana angekuwa kakizi mngedate
tena mbaya kuliko hata mchupi wetu uleeWewe jamaa umetisha sana asee dah
Unaroho mbaya sana
Na ubonge huu namkimbia je mtu? Yan kwma yule mfalme wa sosho midia bongo nzimaWe hujawahi kukimbia mtu?
Hem fanya unikimbie siku yakeWe kauzu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mi nishawahi kumkimbia dem mmoja pale kituo cha usalama magomeni.. huyo bidada nilipewa namba na rafiki yake ambae ni rafiki yangu pia.. kipindi hicho niko mwaka wa kwanza udsm.. basi akasema tukutane usalama saa 7 mhh ikabidi mimi ndo niwahi nikaandae mazingira.. kwel fasta nikawa nishafika nikavuka barabara nikatulia upande wa pili ili nimtazame vizur kama kimeo nirud zangu mabibo hostel..
Kweli bwana nikaona kimtu kifupi kipo na mwenzie sasa yule mwenzie ndo mzur.. cha kushangaza yule mbaya ndo ananipigia simu.. af mi brothermen tena nna mihela ya boom hapo.. nilivyoona kakomaa kupga simu nikala daladala za ubungo nikasepa.. alipga simu mpaka bas
Hapanaa...siwezi kumkimbia mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]doooohhh mi sijawahi kukimbiwa ila niliwahi kimkimbia dada mmoja hv......tumejuana kwnye mitandao bs tukapanga tuonane stend kuu mbeya......Bwana weeee........mtu mzima siku hyo nimeoga sanaaa yn jisugua visigino haswaa........nikafuta kiatu changu freeeesh kabisa.......